MAHITAJI
Unga 3 Magi
Maziwa ya vuguvugu (warm) 1 Magi
Sukari ½ Magi
Maziwa ya unga ½ Magi
Iliki ya unga ¼ Kijiko cha chai
Baking powder 1 Kijiko cha chai
Siagi iliyoyeyushwa 1 Kikombe cha kahawa
Mafuta 1 Kikombe cha kahawa
Viini vya mayai (yolks) 2
Siagi au mafuta zaidi ya kupakiza
VIPIMO VYA HAMIRA:
Hamira 2 Vijiko vya supu
Unga wa ngano 1 Kijiko cha supu
Maji 1 ½ Vikombe vya kahawa
Sukari 1 Kijiko cha chai
UTAYARISHAJI NA UPIKAJI:
1. Katika kibakuli changanya hamira, unga, maji na sukari kwa kijiko na iache iimuke kama dakika 5 hivi.
2. Changanya vipimo viliyobakia ( isipokuwa baking powder) Katika bakuli la mashine. Kisha tia ule mchanganyiko wa hamira na uendelee kuchanganya kwa muda wa dakika 8. Halafu tia
baking powder na changanya tena dakika 3 zaidi.Funika na iaache kwa dakika 5.
3. Chukuwa treya na uipake siagi au mafuta kisha nyunyizia unga kidogo tu.
4. Paka mikono yako mafuta ukishika mchanganyiko wa unga kwani utakuwa unanyata mara ya kwanza.
5. Gawanya donge la unga mara 8 sawa sawa.
6. Kisha funika na iiache dakika 10.
7. Halafu Sukuma kila kidonge kwa kadri ya mviringo wa nchi 5 kwa upana kisha kata mara nne.
8. Panga mahamri katika treya na uwache nafasi ya kiasi baina kila moja.
9. Iache iimuke pahali penye joto kwa muda wa masaa mmoja na nusu hivi.
10. Oka (bake) katika oveni iliyokwisha kupata moto wa 180°C kwa muda wa dakika 8 au hadi igeuke rangi ya hudhurungi isiyokolea.

0 comments:
Post a Comment